Linus Sports Arena
18/01/2026
Yanga hawapoi Wala hawaboi... anyway Hussein Masalanga kutoka Singida BS ni MWANANCHI ππ
18/01/2026
Mwamuzi kutoka DR Congo, Jean-Jacques Ndala, ameteuliwa kuwa Mwamuzi wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 kati ya Senegal na Morocco. Awali, Mwamuzi huyo alichezesha mechi ya ufunguzi kati ya Morocco na Comoro ΒΉ.
Waamuzi wasaidizi watakuwa Guylain Ngila na Mwanya Mbilizi, huku VAR akiwa ni Pierre Ghislain.
Simba wa Teranga (Senegal) wanawinda taji lingine la Afrika, wakati Atlas Lions (Morocco) wanataka kunyanyua kombe la AFCON katika ardhi ya nyumbani .
18/01/2026
π₯ Shirikisho la Soka Afrika (CAF) linajiandaa kuanzisha Ligi ya Mataifa ya Afrika (African Nations League) mwaka 2029! π
Ligi hii kubwa itahusisha timu zote 54 za soka barani Afrika, zikigombana kwa misingi ya kanda. Washindi wa kanda watafuzu kucheza fainali ya mashindano hayo.
Mechi za moto zinazotarajiwa:
- Kenya vs Tanzania π₯
- Ghana vs Nigeria π₯
- Egypt vs Morocco πͺπ¬π²π¦
- Ivory Coast vs Cameroon π
CAF inataka kuandaa mashindano hayo katika nchi moja, wakati wa mapumziko ya FIFA. Hii itawezesha wachezaji bora wa soka barani Afrika kushiriki. Ligi hii inatarajiwa kuleta mapato makubwa na kuongeza ushindani katika soka la Afrika! πͺ
18/01/2026
π¨Chama lako namba ngapi?
Click here to claim your Sponsored Listing.