AFYA TIPS

AFYA TIPS

Share

10/04/2022

๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฉ๐—œ๐— ๐—•๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ง๐—˜๐—ญ๐—œ ๐——๐—จ๐— ๐—˜;

โœ“Kukojoa Mara kwa mara.

โœ“kubakiza mkojo kwenye kibofu.

โœ“kukojoa sana usiku.

โœ“Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.

โœ“Kupungukiwa nguvu za kiume

โœ“UTI ya Mara kwa mara.

โœ“Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.

โœ“Figo kujaa maji, hii Ni kwasababu mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.

โœ”Kupoteza fahamu.

โœ“Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.

โœ“Uume kushindwa kusimama vizur.

โœ“Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.

K**a una tatizo la tezi dume au unataka kujikinga tuna dawa nzuri za kukabiliana na tatizo la tezi dume
Kwa mawasilano na tiba
๐‚๐€๐‹๐‹ 0767477033
๐–๐‡๐€๐“๐’๐€๐๐ bonyeza hapa http://wa.me/+255767477033

02/04/2022

*TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE}*

*BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE*
โž– Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa

*CHANZO CHA BAWASIRI*
โž– Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
โž– Tatizo sugu la kuharisha
โž– Ujauzito
โž– Uzito wa mwili kupita kiasi
โž– Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
โž– Kupata haja kubwa ngumu
โž– Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
โž– Kunywa pombe
โž– Kula sana nyama nyekundu
โž– Vidonda vya tumbo
โž– Ngiri(Chango/Hernia
โž– Kula sana pilipili
โž– Kunyanyua vitu vizito

*DALILI ZA BAWASIRI*
โž– Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
โž– Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
โž– Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
โž– Kupata kinyesi chenye damu
โž– Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
โž– kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
โž– Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa
โž– Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda
โž– Uume kusinya (unapoteza urefu na ukak**avu)

*MADHARA YA BAWASIRI*
โž– Upungufu wa damu mwilini
โž–Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
โž– Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
โž– Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
โž– Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
โž– Kupata tatizo la kisaikolojia
โž– Kutopata ujauzito
โž– Mimba kuharibika

Callโž–text&smsโž–whatsapp๐Ÿ‘‡

0767477033

SHARE kwenye MA GROUP NA WATU MBALI MBALI UWASAIDIE WENGI WANAO TESEKA ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

23/12/2021

PID__ Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke (Ni tofauti na U.T.I)Yani maambukizi haya yanaanzia kwenye Via vya uzazi wa mwanamke Sehemu za uke na sio njia ya mkojo ,inapanda juu kwenye mlango wa kizazi ,mfuko wa kizazi mpaka kwenye mirija ya uzazi

*Dalili Za PID*
PID inaweza isilete _dalili zo zote mbaya na ndogo zikitokea zinaweza_ kuwa ngumu kuzigundua. Baadhi ya wanawake hawapati dalili zo zote. Pale zinapojitokeza, zinaweza kuwa:
โ—Maumivu โ€“ yanaweza kuwa madogo au makali โ€“ maeneo ya chini ya tumbo au nyonga
โ—Uchafu usio wa kawaida au mzito ambao unaweza kuwa na harufu mbaya
โ— Kutokwa damu kusiko kwa kawaida, hasa wakati wa tendo la ndoa, au katikati ya siku
โ—Maumivu wakati wa kujamiiana
โ—Homa, wakati mwingine kusikia baridi
โ— Maumivu wakati wa haja ndogo, haja ndogo ya mara kwa mara au haja ndogo kutoka kwa shida.
โ—Miwasho ukeni
โ—kuharibika kwa ujauzito
โ—kushindwa kubeba ujauzito

๐Ÿ“ŒEndapo pid haitatibiwa mapema uharibu mirija ya uzazi (mirija kujaa maji na hivyo hushindwa kubeba ujauzito ,ujauzito kutunga nje ya kizazi ,ujauzito kuharibika

K**a Una Shida Au Tatizo moja Kati Ya Hayo Hapo Juu

Usisite Kuwasiliana Nami kwa Suluhisho la tatizo hili la
P.I.D

Wasiliana nasi 0757138602

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address

Arusha