Estell Bebe
🧕 SIDECHICK 🧕...(part 13)
Guys kabla usome kindly make sure umeweka like🙏..the more hii story inapata likes mingi the more Itakua mrefu na pia nitafanyaje ikue interested Sana..coz imagine natumia MDA mwingi Sana kuwaandikia hii Story for free alafu wewe huwezi Tumia hata 2Seconds kuweka like as a sign of appreciation 🥺🥺..this is not fair.. Anyway let's continue 💥💥..
Dan aliondoka akaniwacha pale nikiwa na mawazo mengi Sana..sikujua nifanye nini wala nitende nini🥺..en bydha Kwa wale wanaume mko na maside chick🧕be worned 😂😂Ile siku kitaumana ndio mtajua maharagwe ni mbegu tena NI kitoweo😂😂..
Pande yangu me mambo yalikua yameharibika kabisa .nilikumbuka vile niliambiwa eti one step mistake nafutwa kazi, 🥺 nikajiambia waa itabidi Tu nijue vile nitadeal na hii issue..pia sitakubali Carolina atoe iyo Mimba manze..IAM a soldier en my mission is to save lives 💥Not to kill..hatak**a itanicost basi wacha Tu inicost..but I will Not allow Carolina to do abortion.. abortion is a crime en it's also a sin..what If huyo mtoto akiwa mkubwa akue President 🤔..Sasa mama ya Ruto angemtoa Sahi si Angekua bado anaumia Tu😂😂unaona alivumilia na yeye Sahi anaishi k**a Queen ☺️🥰..Bydha sio poa kufanya abortion...unajua aje k**a huyo Tu ndio mtoto ulikua uzae😂🤔kuna wale wanawake waliwai fanya abortion na hawajawai shika Mimba tena ..kumbe ilikua wazae Tu mtoto mmoja na walimtoa😂💔...so be very careful when doing abortion..it may cost you your life ☝️🙌....k**a hauko ready kule manze Tumia Tu protection.or meza P2 within 72hrs after umeshiriki mapenzi..
Hata hivo MDA mlizidi kusonga na jioni ilipofika nikarejea nyumbani 🥰☺️..Nilipata mke wangu ashapika sapper ☺️nilioga nikakula kisha tukalala..
Siku zilizidi kusonga🙌mke wangu hakujua anything 😂...alikua ashasahau na kila kitu ...so ilipofika siku ya jumamosi nilicall Tina nikamwambia akuje Hadi town tumeet Nataka kuongea na yeye .na amake sure Amekuja na huyo mtoto ..kumbuka nilikua mbali kidogo na wife nikiongea n
Click here to claim your Sponsored Listing.