Merianprince012

Merianprince012

Share

Journalist by professional
SERVICES: VIDEOGRAPHY, PHOTOGRAPHY PHOTOMOUNT
๐Ÿ“ž 0701308373๐Ÿค
SCRIPT WRITER
GRAPHIC DESIGNER
CONTENT CREATER
VIDEO-AUDIO EDITOR
PHOTOGRAPHER
Mtembez Art

09/10/2025

chokosh ni noma si noma

22/07/2025

Usipojituma watakudharau

09/07/2025

My wife aneshinda akicomplain๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ‘ˆ Machine yangu ni ndogo Sana Kila siku Jana nliamua kwenda kwa mganga ndio ๐Ÿ†๐Ÿ† machine iwe kubwa nilime bibi yangu mbaka aitane๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆnlipofika kule kwa mganga nkatengenezewa mambo halafu mganga akanishow nkirudi home any animal ntapatana naye njiani ๐Ÿคค niseme tu NATAKA KUWA NA CHUMA K**A YAKO๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ nlipokuwa naenda home nkaona kuku mimi nkanyamaza kidogo kidogo kaa sijaenda mbali nkaona mbuzi๐Ÿ˜ฅ nkanyamaza ckusema chochote๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค  Halafu mwishowe nkapatana na punda nkafurahi sana na nkasema kwa sauti NATAKA KUWA NA CHUMA K**A YAKO ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”halafu nkaenda nyumbani na furaha Sana nkahug bibi yangu nkampea mamunju halafu nkambeba mbaka kwa kitanda nikijua lazima leo nilime mtu mbaka kitu inuke omena baridi๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ kwenda kutoa nguo wueeeeeee. Wacha nilie kwanza โ€ผ๏ธโ‰๏ธโ€ผ๏ธโ‰๏ธ kumbe punda nilipatana nae kwa njia ilikuwa ya kike๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Guza on the follow button hapo juu ๐Ÿ–•๐Ÿ–• ya post tukue tunacheka pamoja.

04/07/2025

Back in high school, i was very poor in maths during exams nilikuwa napata kati ya 4%na 10%๐Ÿ™ˆ. The results used to be announced from the lowest maark's to the highest marks,, so nilikuwa wa kwanza ama wa pili kuitwa๐Ÿคจ alafu napokea viboko kadha ๐Ÿ™
So one day the maths results were announced and my name wasn't among the first to be called ๐Ÿคœ๐Ÿค›,,, so mwalimu anaendelea 30% 40% 50% 60% 70% bado jina langu halikuitwa, kila mtu Kwa class akaniangalia๐Ÿ‘€,, wanauliza "humepitaje huu mtihani?"๐Ÿ˜,nikasmile nikasema "Ni mungu tu " by the time alifika 80% I was already grinding in excitement . Wakati alifika 90% alikuwa amebaki na paper moja tu๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ,, saa mungu amejibu maombi na ndoto yangu ya kupita maths imetimia ๐Ÿ™,, class mzima walishanga na kuniangalia ๐Ÿ‘€,,, finally mwalimu akaangalia juu na kusema
"One idiot did not write his name and scored 0% I just fainted๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Follow Merianprince012

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Meru?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Meru