QUIZ Radio

QUIZ Radio

Share

10/11/2025

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili..Betty Bayo amefariki dunia akipokea matibabu katika hospitali ya Kenyatta
Betty Bayo amekuwa akiugua saratani ya damu ....(Lukemia )

Photos from QUIZ Radio's post 10/11/2025

Leo magazetini

Photos from QUIZ Radio's post 24/10/2025

Yaliyomo Leo magazetin

Photos from QUIZ Radio's post 15/10/2025

Kiongozi wa ODM Raila Odinga aaga dunia.

Habari za kifo chake zimethibitishwa asubuhi ya leo.

Maisha ya Raila kisiasa yanachukua zaidi ya miongo minne, kwani ni mhusika mkuu katika vita vya Kenya vya demokrasia ya vyama vingi na aliwekwa kizuizini mara kadhaa wakati wa utawala wa Rais Moi.

Baada ya demokrasia kurejeshwa, alikuwa mbunge wa Langโ€™ata mwaka wa 1992 na tangu wakati huo amekuwa kitovu cha siasa za Kenya.

Raila amewahi kuwa Waziri wa Nishati, baadaye wa Barabara na Makaazi na alikuwa Waziri Mkuu wa Kenya katika serikali ya mseto ya mwaka 2008 na Rais Mwai Kibaki.

Amewania urais mara tano - mwaka wa 1997, 2007, 2013, 2017 na 2022 - akibaki mmoja wa viongozi wa upinzani wenye ushawishi mkubwa na mtetezi wa mageuzi nchini Kenya.

Mola ailaze roho yake pema panapofaa ๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ™๐Ÿ™

Photos from QUIZ Radio's post 07/10/2025

Magazetini Leo Asuunbui

Photos from QUIZ Radio's post 03/10/2025

Leo Magazetini

01/10/2025

Good morning Leo Magazetini

Photos from QUIZ Radio's post 29/09/2025

Miongoni ya liomo Magazetini Leo

27/09/2025
26/09/2025

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amewarai wafuasi na wanachama wa Chama cha Jubilee kuwa na fikra pana katika kuwachagua viongozi walio na maono ya maendeleo ili kufanikisha ajenda ya wananchi.

Photos from QUIZ Radio's post 25/09/2025

Magazetini Leo

Want your business to be the top-listed Advertising & Marketing Company in Kitale?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address

Kitale Town
Kitale
30200