John Jay
Part 3
Sikuwai elewa Ben k**a tabia zake zingine alikuwa ameficha wakati nilikuwa mgeni๐ญ๐ญ๐ญ
K**a ujanielewa follow story well oooooohh ๐ katambe udaku itaki uzembe wala kelele
Wakati Ben aliona nimeingia nikimkemea alishtuka Sana akasema Christine =kunavitu inafaa uelewe mm nimwanaume Na ninapenda kukula so isikuwe nitisho kwako๐๐ฅบ
Me= mimi sijaiona mtu akikula hivyo unakula vibaya kwani ukufunzwa kukula ,,kumbe vile niliambia Ben hivyo ilimkasirisha nilishutukia Kofi ya kimataifa๐ซ๐ซ๐ญ๐ญ hadii nikaona start ๐ฅ๐๐๐kitu sikutarajia Ben anaweza fanya Pia mm sijawai pingwa Na mwanaume.
Nilishutukia mtu asharuka Juu yangu hapo kwa kiti Juu nilipingwa Kofi hadii nikanguka Kwa kiti ,Ben amenirukia ananipiga makofi nilipiga nduru ya kimataifa ๐ซ๐ญ๐ญ uku anikinyonga Sauti imekataa kutoka ,,,,, wachaniende kukojowa narudi chukuwa kiti nausibanduke narudi Na part 4
Leteni page zenu
Click here to claim your Sponsored Listing.