Coco FM
We deliver cutting-edge news, entertainment, and educational content across various platforms. 98.9 #CocoFM #LadhaYaPwani
06/06/2026
FT: Zambia 1-1 Kenya
Kikosi cha soka cha wanawake Harambee Starlets kimetoka sare ya goli moja kwa moja dhidi ya wenyeji Copper Queens ya Zambia katika mechi za michuano ya mataifa manne mjini Lusaka Zambia.
06/06/2026
SHULE YA UPILI YA MAJAONI NDIYO MABINGWA SUB-COUNTY YA KILIFI KASKAZINI
FT Majaoni sec 2-0 Kilifi Township
Shule ya Upili ya Majaoni imetetea tena kombe lao Baada ya kucharaza Kilifi Township magoli 2-0 fainali iliyopigwa shule ya Upili ya Majaoni sub county ya Kilifi Kaskazini.
Majaoni walishinda tena kombe hilo mwaka jana.
HONGERA!!
Kocha wa Jaribuni school aeleza sababu za ubora wa timu hio msimu huu.
Je, unazijua sheria mpya za fifa tukielekea world cup 2026.
06/06/2026
CHANG'OMBE BOYS MABINGWA RABAI SUB-COUNTY
Shule ya Upili ya Chang'ombe boys ndiyo mabingwa wa sub-county ya Rabai.
Hii ni baada ya kushinda mabingwa watetezi Ribe Boys magoli 8-7 kupitia matuta au penalti baada ya sare ya goli 1-1 muda wa kawaida.
HONGERA!
Je, wewe unashabikia timu gani katika michuano ya world cup 2026.
06/06/2026
Kipenga kimepulizwa. Mwanacoco karibu tudunde viwanjani, kutoka mashinani, kitaifa hadi kimataifa ukiwa na KAKA JP Junior
Sasa tulonge kispoti.
06/06/2026
GODOMA BOYS MABINGWA SUB-COUNTY YA GANZE
FT Godoma Boys 2-0 Vitengeni Baptist
Shule ya Upili ya Godomo Boys ndiyo mabingwa wa soka ya wavulana sub-county ya Ganze fainali kali ilipigwa hii Leo Ugani Sokoke Boys.
06/06/2026
RATIBA YA LIGI YA DIVISHENI YA PILI PWANI WIKENDI HII
Denmark FC vs Young Bulls | Kombani Ground
Beach Bay vs Junior FC | Mjanaheri Primary
Matanomane Youth vs Rwafa FC | Godoma TTC
Mombasa Allstars vs Redstars | MTTI
Sparki Youth vs Ziwani Youth | RG Ngala
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Kilifi