Meshack Rutoh
' '.. -''CHEMSHA BONGO''--..''--.''๐ฅ๐ฅ
Binti mmoja Alikatiwa na wanaume 4.
1.Msanii๐๏ธ๐ถ๐ป
2.Mvuvi ๐ฃโโ๏ธ
3.Askari ๐ฎโโ๏ธ
4.Doctor ๐ฉโโ๏ธ
Siku moja binti huyo alienda kufua mtoni , ghafla akatokea Mamba ๐๐ akamchukua na kuzama nae kwenye maji
MSANII: Akamuimbia' mamba wimbo, Mamba akatokezea juu ya maji
ASKARI: Pale pale akampiga Mamba Risasi akafa, na binti alibaki akitapatapa ndani ya maji.
MVUVI: akaogelea kuenda kumuokoa,
DOCTOR: akamtibu hadi akapona.
Je......? ni nani anaestahili Kumuoa binti huyo kati ya wachumba hao????
Good morning
Click here to claim your Sponsored Listing.