Sentava Show
24/06/2026
Sentava vipi ni Dickson kutoka mombasa bro nataka uniconect na dem mwenye anataka kuwa Bibi WA pili awe mluyia mjaka Mtaita awe na mtoi moja awe amebeba,Nataka tu dem mwenye anataka kuwa Bibi WA pili awe, Na mtoi moja ama Hana pia amebeba mluyia mjaka, Mtaita meru,Sitaki Mkisi Mkamba Kikuyu! Apana nawaogooa
24/06/2026
Nimekupenda Beby, Enda Uchukue Watoto Babydaddy wako alichukua ndo nikuoe,sitaki nikuchukue na mtoto mmoja nataka wote wawili, nimetoka kitale kuja Nairobi kwa ajili yako.
24/06/2026
I love you Already💕Nimetravel From Kitale leo usiku Kuja Nairobi kukuchukua pamoja na Watoto wako wawili wakue wangu ju sina mtoto bado,Kwanza Uende Kwa Babydaddy wako Uchukue Huyo mtoto Alibaki nae mkuje nae tukue familia moja sitaki akae nae😋Congratulations🎉 Mr and Mrs Sylvester,Let's wish them a happy family Guys🥰 Full video on YouTube click here watch like subscribe comment share🔥🔥
I love you Already💕Nimetravel From Kitale leo usiku Kuja Nairobi kukuchukua na Watoto wako wawili
Click here to claim your Sponsored Listing.