Kristo Mlangoni
TUTATOBOA KWA NGUVU ZA MUNGU.
Sheria aina dumu mbele ya imani ; sheria zetu za kidini na za ma dhehebu( kanisa) yetu ni jela inayo tuweka mbali na KRISTO YESU, tumefungwa hatuwezi kusimama ; tumefungwa chini ya taratibu ya ma dhehebu yetu.
Naamini Mungu hamtupi mja wake,
24/06/2024
ACHENI UJINGA WAISLAMU NA WA KATOLIKA..! AMININI YESU KRISTO.
KRISTO MLANGONI.
02/04/2024
Kitabu 📕 hiki cha injili, kiko hewani. Ukikiitaji tuandikie 📥
29/03/2024
Kweli ya Neno la Mungu inapigwa vita maaali pote katika Dunia. mwinjilisti mwenzangu nakuomba upambane hata k**a unagombanishwa kwa ajili ya kweli ya Neno la Mungu katika dhehebu yenu, amini kuwa autumikii dhehebu yenu ila Yesu Kristo aliye shinda kifo na mauti musalabani.
KRISTO MLANGONI.
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.
Type
Contacter la personnalité publique
Téléphone
Site Web
Adresse
Heures d'ouverture
| Mardi | 09:00 - 22:00 |
| Jeudi | 09:00 - 22:00 |
| Vendredi | 09:00 - 22:00 |
| Samedi | 09:00 - 22:00 |
| Dimanche | 09:00 - 22:00 |