TinaMagambo

TinaMagambo

Partager

25/04/2026

aseme
" Batacomprendre na re**rd."
😂🤣🤣

Photos from TinaMagambo's post 15/04/2026

Mwenye Byake kinachobaki ni kitu kimoja tu

Photos from TinaMagambo's post 14/04/2026

Ebuu kwanza mpe mauwa yake WORKS BEATZ Maana sio kwa hiii
Huyu jana anajuwa sana kujiongeza , kila siku anakuja na mpya ukiingia kwenye studio yake hata ukikuwa na wimbo mbovu anakutengenezea beat mpaka wimbo wako unaonekana kali

Tuache kusema sema charge ni ngoma nzuri bila kutowa sapoti kwa ukubwa . nguseni basi apo chini k**a tayari, watumiye link rafiki zako pia

🔥👇🏽👇🏽👇🏽

https://youtu.be/TRtNz-gBvA8?si=MBgET0PbEfXcwovI

11/04/2026

Kaa tayari sasa , wiki ndo kwanza imeisha, tutaanza wiki ijayo na kichupa kipya toka kwa Nel Q

Photos from TinaMagambo's post 11/04/2026

JoybCraq kwenye pamba lakisasa
Jama bado anaendelea ku vuruga tz

Vous voulez que votre personnage public soit Personnage Public la plus cotée à Uvira ?
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.

Téléphone

Adresse

Kimanga
Uvira