Majani record studio
no comment please 🙏🏾 watu msiongeee sama 🇹🇿 MAGARI .millinaire 47 tv
01/10/2024
Unashindwaje Kuamini K**a Majani record studio Ni Moja Ya Wasani Wanao Weza Kushawishi Mashabiki Pindi Akiwa Na Jukwani✊Mpeni Mauwa Yake Jamani.
Neno Lako Moja Kwa
Followers Chaîne Youtube
https://youtu.be/4XS-xDZFyyo?si=_AirIVFtW4_dYq2w
08/08/2024
Mungu wa sisi yatima ndio anajuwa ametutowa wapi na atatulea Vipi jamani huyu kijana pia yatima mwanzangu naona K**a ni Mimi hapo tu kwa sababu miaka yake hii hii ndio nilivyo achiwa na wazazi wangu 💔😭 hii nikitu ambacho uwa nakiona kukaaa kwangu milele na milele ila mungu Leo Katupa eshima hooo mungu wa yatima mungu wetu sisi uliona ni vema tusiwe karibu na upendo wawazazi wetu mujalie huyu kijana wafunguwe watu mioyo Yao wamusaidie pia Allahumaa Amin 🤲🏾🤲🏾🤲🏾😭😭😭